
Pia tukio la utoaji tuzo litakaloanza rasmi saa tatu usiku litakuwa moja kwa moja mtandaoni hadi litakapofikia mwisho. Watumiaji wa simu za Android, Blackberry, iPhone na tablets wanaweza ku-download application ya LIVESTREAM itakayowawezesha kuangalia moja kwa moja kwenye simu zao wakati watumiaji wa computer watatazama kupitia http://new.livestream.com/KTMA2013 na katika Blogs mbalimbali.
Pia picha za matukio yatakayokuwa yakijiri ukumbi zitapatikana kupitia ukurasa wa Instagram wa Kilimanjaro Premium Lager ambao ni www.instagram.com/kili_lager wakati ule wa Twitterwww.twitter.com/kili_lager utakuwa ukitoa habari zinazoendelea na washindi wa tuzo na itapatikana
pia katika ukurasa wa Facebook wa Kilimanjaro Premium Lager.
No comments:
Post a Comment