Taarifa zinasema mwili wa marehemu utaagwa na watu mbalimbali jijini DSM kuanzia asubuhi hadi saa sita mchana Jijini DSM mara baada ya kuwasili nchini siku ya jumapili ukitokea Afrika kusini.
Sababu ya kuchelewesha msiba huo ni kutoka na watanzania walioko Afrika Kusini kutaka kuaga mwili wa marehemu hapo kesho kisha jumapili kuwasili DSM.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
AMINA
No comments:
Post a Comment