
Waamuzi na wachezaji wakiingia Uwanani

Waamuzi wa mchezo huu wa Kashai na Kitendaguro

Kikosi cha Kitendaguro

Kikosi cha Kashai FC

Benchi la Kashao, wachezaji wa akiba

Benchi la Kitenguro

Kashai kwa mashabiki...usiseme wanakua mtaa mzima!!!

Mtanange ukiendelea...



Wachezaji wa Kashai Fc wakishangilia baada ya kufunga bao




Kushoto nimchezaji aliyefunga bao

Kumbuka
KILA KUNDI ZINATOKA TIMU 4 KUELEKEA HATUA YA
FAINALI.
No comments:
Post a Comment