Bilele ni sisi ......km.0
Leo ni HAMUGEMBE na KITENDAGURO saa 8:00 Mchana ikifuatiwa na mtanange mkali wa IJUGANYONDO na KASHAI.
Kumbuka ndugu Mtazamaji na mpenzi wa mtandao huu wa bukobasports.com KAGASHEKI CUP ni Mjumuiko wa kata zote 14 za Bukoba na Zimegawanywa kwenye makundi mawili "A" na "B" huku kundi A ikiwa na Timu 7 na Kundi B ikiwa na Timu 7.
KUNDI "A" ni Rwamishenye, Buhembe, Bilele, Nshambya, Kibeta, Kagondo na Miembeni .
KUNDI "B" ni Kitendaguro, Nyanga, Kashai, Hamugembe, Ijuganyondo, Bakoba na Kahororo.
No comments:
Post a Comment