BUKOBA SPORTS

Tuesday, July 9, 2013

KAGASHEKI CUP 2013: NSHAMBYA 0 vs BILELE 2, TIMU YA USWAZ YACHINJA MTU - FIKIRI DAVID AKITUPIA ZOTE MBILI!!


Wachezaji wa Bilele wakishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 39 kupitia kwa mchezaji wao matata Fikiri DavidFuraha za ushindi hapa baada ya kuizabua bao la pili dakika 42 kipindi cha kwanza na kupitia mchezaji huyo huyo Fikiri mwenye namba 10 mgongoni.

Wachezaji wa Nshambya Hoi!!
Mashabiki wa Bilele maarufu timu ya Uswaz kwenye jukwaa la Balimi hapakutosha!!!

Wadau!! wakifurahia baada ya timu yao kushinda jioni hii kwenye uwanja wa Kaitaba kwenye kipute cha Kagasheki Cup!


Wadau wakifatilia kwa karibu soka na hapa ni wenye timu ya Bilele wakitupia macho

Mchezaji wa Bilele akiangalia kama anaweza kuwatoka wachezaji wa Nshambya









Dadaz nao walikuwepo kuonesha ushabiki wao kwa timu yao ya Bilele!!!










Licha ya Timu ya Nshambya kufungwa bao hawakukata tamaa kipindi cha pili walifanya vyema japo hawakuweza kuziona nyavu za timu ya Bilele

Hapa wakipongezana na kuamshana kuanza kipindi cha pili


Viongozi wakifatilia soka leo hii Kaitaba

Kulia ni Haruna nae alikuwepo leo kufatilia soka la Kagasheki Cup







Fikiri David kijana aliyechoma nyavu na kupeleka kilio Nshambya kwa kuwachapa bao 2-0
Hapa ni Kilomita 0, jukwaa la Balimi likitikisika na washa washa ya mashabiki wa timu ya Bilele kutoka Uswaz



Kulia ni dada Hadija akitabasamu na rafiki yake leo hii kwenye mtanange wa Nshambya na Bilele(Kagasheki Cup).

Khalifa katikati akifatilia kabumbu
Wadau kama kawa kwenye jukwaa la Balimi

Mh. Ibrahim nae alikuwepo uwanjani kucheki kipute cha vijana wake kama kawaida
Dadaz kwenye jukwaa la Balimi wakiachia Tabasamu zao baada ya timu yao kupata bao la kwanza dakika ya 39
Bilele Daima !! na hapa ni full shangwe!Mhhh.....Kama ni soka na sisi tumo!!
wadau wakifatilia mechi kwa makini sana leo hii kaitaba
Wababe wakisindikizwa!!! katikati ni Fikiri aliyetupia zote nyavuni!!!

No comments:

Post a Comment