
Mgeni rasmi akitoa neno na kueleza jinsi alivyogusswa na nyimbo zilizomo kwenye albamu ya watoto (aliwaita malaika) na katika risala ya watoto walihitaji wapate kiasicha milioni kumi na tano watakapouza DVD zao na peas hiyo isaidie katika kulipa karo zao, ndipo Balozi Kagasheki aliposema nawapa shilingi milioni ishirini kwa sababu kitu hiki ni cha msingi sana katika maisha ya watoto hawa ambao miongoni mwao ni yatima na hawana uwezo wa kugharamikia karo ili waweze kusoma

DVD hii aliinunua kiasi cha laki sita kusaidia mfuko wa watoto

Ndugu Muganyizi Zachwa alinunua DVD nae kwa laki mbili na nusu kuchangia mfuko wa watoto

Ernest Nyambo nae alinunua Dvd kwa laki mbili na nusu

Binti jackline mwimbaji mahili akieleza kitu

Richard leo mkurugenzi wa redio kasibante nae alikuwepo

Baba askofu akimshukuru mgeni rasmi,alisema sikutegemea ulichofanya kwa watoto hawa , mungu akubariki sana

Watoto wa kwaya ya upendo wakiwa kanisani

watoto wa kwaya upendo upendo ambao wamezindua albam ya nyimbo za video( mungu ni mwema)

Anaepiga kinanda ndio mwalimu wa kwaya ya upendo Emanuel Tumwesige Bililiza akiwa nya mwenyekiti wa kwaya ambae ni mwimbaji maili sana anapokuwa jukwaani Jackline(wende) Kakengi

Jackline kakengi na wenzake wakiimba

balozi kagasheki ambae alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo akifurahia kwaya ya watoto wa upendo ikitumbuiza, na kulia ni mwenyekiti wa ccm wilaya ya bukoba mjini yusuf ngaiza

Baba Askofu Jackton Lugumira wa kanisa la Anglikana

Waumini na wageni mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi

Baba askofu akihutubia waumini

Waumini na wageni waalikwa

Wachungaji

Mwalimu lobozi na kulia ni mama mwainunu

Mzee rweyemamu(advocate) nae alikuwepo na aliwachangia watoto kutunisha mfuko wao

jumanne bingwa, msaidizi wa mbunge kagasheki

upendo kwaya wakitoa burudani

katibu wa ccm bukoba mjini Janati musa akiwa na ndugu Muganyizi zachwa wakifurahia

mwalimu lobozi katika swala zima la kuamasisha waumini na wageni waalikwa kuchangia mfuko wa watoto kwa ajili ya kuwasomesha

mgeni rasmi akitete na ndugu yusuf

ndugu ernest nyambo akiwa ananadi DVD 3 kwa bei ya juu ili kutunisha mfuko wa watoto
No comments:
Post a Comment