BUKOBA SPORTS

Friday, July 12, 2013

MBUNGE NYERERE AONGOZA MASHABIKI KUISHANGILIA TIMU YA SOKA YA POLISI JAMII BUNDA KTIKA MCHEZO WA LIGI YA MABINGWA UWANJA WA KARUME MUSOMA






KOCHA AMANI RICHARD AKITOA MAELEKEZO KATIKA BENCHI LA POLISI BUNDA





NYERERE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KIKOSI CHA POLISI BUNDA

HIVI NDIVYO MBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA VICENT NYERERE ALIVYOONGOZA MASHABIKI WA SOKA KUISHANGILIA TIMU YA POLISI BUNDA DHIDI YA FRENDS RANGERS YA DAR NA KUCHOMOZA NA USHINDI WA BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA LIGI YA MABINGWA KUTAFUTA NAFASI YA KUCHEZA LIGI DARAJA LA KWANZA.

No comments:

Post a Comment