BUKOBA SPORTS

Wednesday, July 10, 2013

MOYES: NIMEKUTANA NA WAYNE ROONEY KAMA MARA 4 SINA MASHAKA NAE!! ATABAKI NA MIE UNITED...


Wayne Rooney ameishakutana na David Moyes meneja wa United kama mara tatu au nne na kuteta kuhusu yeye japo kuna fununu za hapa na pale za kutaka kusahiniwa na klabu ya Chelsea hivi karibuni.Moyes Meneja Moyes kwenye picha ya pamoja na mchezaji mpya Wilfried Zaha
Good start: Zaha posted this picture on Instagram Kocha David Moyes akicheki vijana wake kwenye mazoezi
Kocha David Moyes akiteta na meneja msaidizi Steve Round kwenye mazoezi

Danny Welbeck na Rio Ferdinand wakipasha kwenye mazoezi

No comments:

Post a Comment