
Ni mapambano ya masumbwi kati ya Wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na waigizaji wa Bongo Movie, Jackline Wolper na Aunt Ezekiel. Mapambano yote yamemalizika kwa sare Hapa uwanja wa taifa ilikuwa burudani ya kutosha! Tazama picha upate kujionea yaliyojiri.

Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.

Piga nikupige kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper.

Muigiziaji wa Bongo Movie Jackline Wolper akielekea ulingoni.

Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akisindikizwa ulingoni na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

Aunt Ezekiel akijiandaa kabla ya kuanza pambano dhidi ya Mbunge Ester Bulaya.

Mbunge Ester Bulaya akikepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto).

Napo hapakupatikana mshindi..iliishia 5-5 kati ya Mbunge Ester Bulaya (kulia) na muigizaji Aunt Ezekiel.
No comments:
Post a Comment