
Klabu ya Manchester United imethibitisha
kuwa Kampuni ya Ndege ya Urusi, Aeroflot, itakuwa mmoja wa Wadhamini
wao wapya na ndiyo Kampuni yao rasmi kwa Usafiri wao wa Ndege.
Dili hii imeanuliwa rasmi leo mbele ya Meneja mpya David Moyes na Kikosi cha Wachezaji wa Man United.
Akizungumza kwenye hafla hiyo,
Mkurugenzi Mtendaji wa Man United, Richard Arnold, alisema: “Leo
tunaanza rasmi biashara Nchini Russia, Soko ambalo tuna nia ya kulikuza.
Klabu yetu inao karibu Mashabiki Milioni 18 huko Urusi. Aeroflot Mwaka
huu wanasherekea Mwaka wao wa 90 tangu ianzishwe.”
Aeroflot inaibadili Turkish Airlines kwenye udhamini wa Safari za Ndege.
True colours: Wayne Rooney was on hand at Old Trafford as Manchester United unveiled a new partnership with Russian airline Aeroflot
Still here: Rooney has been linked with a move away from Old Trafford this summer
Welcome aboard: Ryan Giggs, manager David Moyes, Group managing director Richard Arnold, Rio Ferdinand and Patrice Evra of Manchester United pose with CEO of Aeroflot Vitaly Saveliev
Glamorous deal: Aeroflot are the new official carrier on Manchester United
No comments:
Post a Comment