BUKOBA SPORTS

Thursday, August 29, 2013

KIGOMA ALL STARS-LEKADUTIGITE KUFANYA ZIARA KUBWA NCHINI RWANDA, DRC-CONGO, KENYA NA BURUNDI.

Pichani wa tatu shoto, Mratibu wa Kigoma All Stars-Lekadutigite,Bwa. Sam Odera akimkabidhi kiasi cha fedha Bi.Aisha Amri kwa ajili ya kusaidia Watoto Mayatima wa Burundi,tukio hilo fupi limefanyika leo jijini Dar.Shoto ni wanaoshuhudia tukio hilo ni Bwa.Omar Mwinyi,Manira Mbona na mwisho kabisa kulia ni Maimuna Msangi.Kundi la Kigoma All Stars-Lekadutigite linaloundwa na wasanii mbalimbali mahiri akiwemo Dimaond,Ommy Dimpo,Chege,Baba Levo,Mwasiti Almas,Rachael,Abdul Kiba na wengineo wanatarajiwa kufanya ziara kubwa ndani ya nchi ya Tanzania,Rwanda,DRC-Congo,Kenya pamoja na Burundi.

No comments:

Post a Comment