BUKOBA SPORTS

Thursday, August 29, 2013

SIR NATURE – NDALA HALISI ZIPO PALEPALE


Mwisho wa yote, Nature aliibukia media house nyingine na kutangaza rasmi dhima yake ya kuingiza sokoni Ndala zenye nembo ya ‘Halisi’.

For real that was a good idea for such an artist But tangu info hizo zizagae na kuwa midomoni mwa watu,kimepita kimya kisicho na info zozote ndipo BK cop alipomvutia waya na kuhitaji ufafanuzi juu ya hilo ili kuondoa kiu ya mafans wake.

“Mpango wa kuzileta ndala bongo bado upo pale pale na huu mwaka hauishi lazima uingie nchini ukiwa una nembo ya Halisi na kilamtu ataufurahia na watu wasiutafsiri vibaya ukimya wangu juu ya hili kuwa nimeshindwa hakuna kitu kama hicho mzazi” Nature told the Bk cop.

No comments:

Post a Comment