
Timu zikijipanga kabla ya mtanange kuanza jioni hii

Viongozi wakisalimia timu zote mbili

Wachezaji wakendelea kusalimiana..

Viongozi wakiteta na timu zote mbili leo hii

Waamuzi wa mtange huo

Kikosi cha kilichoanza cha Mbeya City

Benchi la Kagera Sugar na viongozi wake

Mashabiki wa Mbeya City waliojitokeza kwa wingi leo kuishangilia timu yao iliyopanda ligi msimu huu mpya.
Picha kwa hisani ya Mbeya yetu Blog.
No comments:
Post a Comment