BUKOBA SPORTS

Saturday, September 7, 2013

GAMBIA 2 v TANZANIA 0. MUSTAPHA JARJU AIUA STARS, ATUPIA BAO MBILI PEKE YAKE!


Taifa Stars leo imefungwa bao 2-0 na timu ya Gambia bao zote zikiwa ni za mchezaji mmoja Mustapha Jarju. Kipindi cha kwanza alifunga bao dakika ya 45 na kipindi cha pili akafunga huyo huyo dakika za mapema dakika ya 51.
Mwamuzi wa mchezo huo alikuwa Hudu Munyemana

No comments:

Post a Comment