BUKOBA SPORTS

Friday, September 27, 2013

IBRAHIM JUMANNE NA SOFIA SONGORO WAMEREMETA LEO KAMACHUMU BUKOBA.

Bwana Harusi Ibrahim na Bibi harusi Bi. Sofia Songoro wakimeremeta leo hii Nyumbani kamachumu Bukoba Kijijini walipofungia ndoa mchana wa leo Ijumaa tarehe 27.09.2013
Wageni mbalimbali waliojitokeza kwenye harusi hiyo Kamachumu leo
Bwana Harusi Ibrahim kulia akipokea neno kutoka kwa Sheikh na makubaliano kati yake na upande wa pili wa Bi Harusi.
Bw. Yusuph Songoro (kushoto) kaka wa Bi Harusi nae alikuwepo kushuhudia harusi hiyo

Bw. Yusuph Songoro akipeana neno na rafiki yake
akimwaga wino hapa

Bibi harusi Bi. Sofia Songoro akimwaga wino kwenye kitabu
Bibi harusi Bi. Sofia Songoro akifurahia hapa
Kuoa sio mchezo Bw. Ibrahim....hongera sana




Sheikh Haruna kichwabuta nae alikuwepo kwenye harusi hiyo iliyofungwa leo hii Kamachumu Bukoba Kijijini.
Bwana Harusi Ibrahim akimkumbatia mkewe Bi. Sofia Songoro leo hii baada ya kukabidhiwa...


.












Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha kwa wanandoa hao












No comments:

Post a Comment