BUKOBA SPORTS

Saturday, September 21, 2013

KAGERA SUGAR: LEO NI SISI NA ASHANTI UNITED!!! KAMA TULIWAFUNGA AZAM FC IWEJE WAO?? HAKUNA KULALA!!


Wachezaji wa Kagera Sugar wakipewa mbinu na kocha wao mpya.
Kikosi cha Kagera Sugar 2013
Kocha wa Kagera Sugar na Masidizi wake wakiteta jambo wakati wa mechi ya Azam FC juzi jumatano
Wachezaji wa Kagera Sugar wakiwakimbiza wachezaji wa AZAM FC
Kocha wa AZAM FC aliyefungwa bao 2-1 na Kagera Sugar Jumatano Juzi
Kagera Sugar wakifanya mazoezi

Viongozi wa timu ya Kagera Sugar

No comments:

Post a Comment