BUKOBA SPORTS

Sunday, September 15, 2013

LIGI KUU VODACOM: MBEYA CITY NA YANGA NGOMA DROO ZAROKA SARE YA 1-1 MJINI MBEYA.


Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Mbeya City, uwanja wa Sokoine Mbeya.

Timu zikisalimiana

Timu ya Mbeya City

Timu ya Yanga

Wachezaji wa Timu ya Mbeya City wakisalimia mashabiki wao muda mfupi kabla ya kandanda kuanza

Mambo yameshaanza


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akiwa katikati ya mashabiki wa Mbeya City wakishangilia timu yao





Hawa dogo wanataka kuniaharibia kazi kocha wa Yanga

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akionesha fedha taslimu sh. milioni mbili ambazo aliahidi kuizawadia timu ya Mbeya City iwapo ingeshinda mchezo huo, hata hivyo alitoa sh. milioni moja baada ya timu hiyo kutoka sare

Basi la Yanga baada ya kupasuliwa na chupa katika kioo cha kulia mwa dereva kama inavyoonekana (Tundu kulia dirishani)

Dereva wa basi la yanga alijeruhiwa mkono wake wa kulia

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akiongea na waandishi wa habari mara baada ya mpira kwisha

Mara baada ya mecho kwisha wachezaji wakipongezana

Wachezaji wa yanga hawaamini kilichotokea

Kocha wa Timu ya Yanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mechi kati ya timu yake na Mbeya City timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1

No comments:

Post a Comment