
Ulimwengu ambaye ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania alikuwa nyota wa mchezo huo kati ya Tp Mazembe na Entente Sportive Setiff ya Algeria ambao walishinda mabao 4-2 mchezo uliocyhezwa huko Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Thomas Ulimwengu alifunga mabao mawili kwenye mchezo huo huku moja likiwa la kichwa lilitokana na mpira wa krosi ya Mbwana Samatta.
Matokeo haya yanaipeleka TP Mazembe kufuzu kucheza hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho wakiwa wamejikusanyia pointi 10 baada ya michezo mitano huku wakiwa wamebakiwa na mchezo mmoja kabla ya hatua ya makundi kumalizika.
Africa - Caf Confederation Cup
Played
September 14, 2013 3:30 PM SAST
Stade du TP Mazembe — Lubumbashi
WAFUNGAJI TIMU ZOTE MBILI.
4′
Thomas Emanuel Ulimwengu
Mohamed Khoutir - Ziti
5′
16′
Trésor Mputu
Kaled Gourmi
72′
27′
Thomas Emanuel Ulimwengu
63′
Mbwana Ally Samata
No comments:
Post a Comment