LIGI KUU ZANZIBAR, GRAND MALT: HAKUNA MBABE KATI YA MALINDI NA MAFUNZO ZOTE ZATOKA SARE!
Kikosi cha timu ya Mafunzo kilichoilazimisha sare timu ya Malindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar iliofanyika uwanja wa Mao leo jioni. Kocha wa timu ya Malindi akizungumza na waandishi wa habari jinsi timu yake ilivyocheza na timu pizani ya Mafunzo na mchezo huo kutoka sare ya bao 1-1. Mashabiki
No comments:
Post a Comment