BUKOBA SPORTS

Friday, September 6, 2013

MJI UTAKAOANDAA OLIMPIKI 2020 KUJULIKANA KESHO, JE? TOKYO ITAFANIKIWA!!!?

JIJI litakalokuwa mwenyeji wa michuano ya kiangazi ya olimpiki na paralimpiki mwaka 2020 linatarajiwa kuchaguliwa jijini Buenos Aires, Argentina mwishoni mwa wiki hii. Miji ya Istabul, Tokyo na Madrid ndio watakaoshindana katika kinyang’anyiro hicho na mshindi atatangazwa hapo Kesho Jioni. Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki-IOC pia itaamua mchezo upi kati ya squash, baseball na mieleka utaongezwa katika michuano hiyo kwa mwaka 2020. Mbali na hivyo kamati hiyo pia itamchagua rais mpya ambaye atachukua nafasi ya rais wa sasa Jacques Rogge.
Tokyo wenda ikapata nafasi hiyo kesho kuandaa olimpiki 2020
Is Madrid the favorite? It's application got the best grades
Tokyo's bid comes with massive financial backing

No comments:

Post a Comment