BUKOBA SPORTS

Monday, September 9, 2013

MSANII WA FILAMU AFARIKI DUNIA.


MSIBA...MUIGIZAJI WA FILAMU ZUHURA MAFTAH(MALISA) AFARIKI DUNIA....R.I.P MALISA.

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji wa bongo movies, Zuhura Maftah ama Malisa (Pichani) amefariki dunia. Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake ila tunafanya juhudi kuweza kuzipata na tutawal

etea hivi punde zitakapokuwa tayari.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon

No comments:

Post a Comment