

Ilikuwa ni sherehe kubwa nchini Japan pamoja na viongozi wa nchi hiyo waliokuwepo kwenye shughuli hiyo wakati rais wa IOC Jacques Rogge ambaye anamaliza muda wake Jumanne ijayo baada ya kuongoza kwa miaka 12, kuitangaza Tokyo kama mwenyeji wa michuano hiyo ya 2020. Hiyo ni mara ya kwanza kwa Japan kupewa uenyeji wa kuandaa michuano hiyo mikubwa kabisa duniani toka wafanya hivyo mwaka 1964.
IOC president Jacques Rogge reveals Tokyo as the winner in the voting for the 2020 Olympics.
No comments:
Post a Comment