BUKOBA SPORTS

Friday, September 27, 2013

RATIBA NA MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND, KESHO JUMAMOSI MAPEMA NI TOTTENHAM HOTSPUR v CHELSEA


LIGI KUU ENGLAND inarudi kilingeni Jumamosi, Jumapili na Jumatatu lakini Bigi Mechi ni ile ya huko White Hart Lane wakati Tottenham, ambao wako juu kileleni Pointi sawa na Vinara Arsenal, wataikaribisha Chelsea na kachumbari ya Mechi hii ni kukutana kwa Mameneja Andre Villas-Boas na Jose Mourinho, Watu waliokuwa pamoja, na sasa kutengana huku kukidokezwa kuwepo ufa kati yao.

Kwingineko, Mabingwa Manchester United watakuwa Nyumbani kuikabili West Bromwich Albion huku wakitaka kufuta machungu ya kuchapwa 4-1 Jumapili iliyopita na Man City kwenye Ligi ingawa furaha ilirudi tena Klabuni baada ya Jumatano kuwatoa nje Liverpool kwenye Capital One Cup kwa kuwafunga Bao 1-0 hapo hapo kwao Old Trafford.
Arsenal, wao watakuwa Ugenini Liberty Stadium, kucheza na Swansea City na Liverpool, waliotangulia kwa makeke kuwa Vinara wa Ligi na sasa kurudishwa chini, wapo Ugenini kucheza na Sunderland ambayo haina Meneja baada ya Paolo Di Canio kufukuzwa Jumatatu iliyopita.

Enzi hizo Andre Villas-Boas na Jose Mourinho wakiwa pamoja Inter Milan
Mourinho akimkumbatia Villas-Boas ambaye kwa sasa ni Meneja wa Spurs.
Mourinho and AVB
Mourinho (wa pili kutoka kushoto) na Villas-Boas anayefata kulia wakiwa pamoja tena Chelsea.

RATIBA
Jumamosi 28 Septemba
14:45 Tottenham Hotspur v Chelsea
17:00 Aston Villa v Manchester City
17:00 Fulham v Cardiff City
17:00 Hull City v West Ham United
17:00 Manchester United v West Bromwich Albion
17:00 Southampton v Crystal Palace
19:30 Swansea City v Arsenal
Jumapili 29 Septemba
15:30 Stoke City v Norwich City
18:00 Sunderland v Liverpool
Jumatatu 30 Septemba
22:00 Everton v Newcastle United 

MSIMAMO: 
2013-2014 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 5 4 0 1 11 6
2 0 1 5 4
2 0 0 6 2
5 12
2 Tottenham Hotspur 5 4 0 1 5 1
2 0 0 3 0
2 0 1 2 1
4 12
3 Manchester City 5 3 1 1 12 4
3 0 0 10 1
0 1 1 2 3
8 10
4 Chelsea 5 3 1 1 6 2
3 0 0 6 1
0 1 1 0 1
4 10
5 Liverpool 5 3 1 1 5 3
2 0 1 2 1
1 1 0 3 2
2 10
6 Everton 5 2 3 0 6 4
1 1 0 1 0
1 2 0 5 4
2 9
7 Southampton 5 2 2 1 3 2
0 2 0 1 1
2 0 1 2 1
1 8
8 Manchester United 5 2 1 2 7 6
1 1 0 2 0
1 0 2 5 6
1 7
9 Swansea City 5 2 1 2 7 7
0 1 1 3 6
2 0 1 4 1
0 7
10 Stoke City 5 2 1 2 4 5
1 1 0 2 1
1 0 2 2 4
-1 7
11 Hull City 5 2 1 2 5 7
1 1 0 2 1
1 0 2 3 6
-2 7
12 Newcastle United 5 2 1 2 5 8
1 1 1 3 3
1 0 1 2 5
-3 7
13 Aston Villa 5 2 0 3 6 6
0 0 2 1 3
2 0 1 5 3
0 6
14 West Bromwich Albion 5 1 2 2 4 4
1 0 2 3 3
0 2 0 1 1
0 5
15 West Ham United 5 1 2 2 4 4
1 0 2 4 4
0 2 0 0 0
0 5
16 Cardiff City 5 1 2 2 4 6
1 1 1 3 3
0 1 1 1 3
-2 5
17 Norwich City 5 1 1 3 3 6
1 1 1 3 3
0 0 2 0 3
-3 4
18 Fulham 5 1 1 3 3 7
0 1 1 2 4
1 0 2 1 3
-4 4
19 Crystal Palace 5 1 0 4 4 8
1 0 2 3 4
0 0 2 1 4
-4 3
20 Sunderland 5 0 1 4 3 11
0 0 2 1 4
0 1 2 2 7
-8 1

No comments:

Post a Comment