Monday, September 16, 2013

REFA HOWARD WEBB KUCHEZESHA MECHI YA DABI YA MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED JUMAPILI SEPT.22


MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED
Mwamuzi ambae alichezesha Fainali ya Kombe la Dunia ya Mwaka 2010 kati ya Spain na Holland, Howard Webb, ndie ameteuliwa kuchezesha Mechi ya Ligi Kuu England ambayo ni Dabi ya Manchester kati ya Man City na Man United itakayochezwa Uwanja wa Etihad Jumapili Septemba 22.
Bora tuukose wote!!
Mara ya mwisho kwa Howard Webb kuichezesha Man United ilikuwa ni Mwezi Mei Uwanjani Old Trafford kwenye Mechi na Chelsea ambapo Refa huyo alimpa Kadi Nyekundu Rafael.
Nipishe!!

No comments:

Post a Comment