Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo.
Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE .
Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.
Wadau wakipata picha.
Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.
MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo.
Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha.
Wadau wakifuatilia.
Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment