BUKOBA SPORTS

Sunday, September 29, 2013

STOKE CITY 0 v NORWICH 1, BAO LA JOHNNY HOWSON LATOSHA LEO KUWAPA USHINDI UGENINI

Jonny Howson kulia akishangilia bao lake dakika ya 34 kipindi cha kwanza baada ya kuchukua mpira kwa Anthony Pilkington na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Stoke Asmir Begovic. Kipindi cha pili kilimalizika kwa kutoshana nguvu ya bila kufungana na hatimaye bao hilo likawa pekee na la ushindi kwa timu ya Norwich City waliokuwa ugenini kucheza na Stoke City kwenye uwanja wao Britannia Stadium.He shoots: Howson lines up Norwich's 34th-minute opener
Howson akiipatia bao Norwich dakika ya 34.
Klabu ya Norwich imejipatia ushindi wake wa pili wa Ligi kuu ya England kupitia bao la Jonny Howson katika kipindi cha kwanza kuibwaga Stoke.
Howson alizitikisa nyavu za Stoke kutoka umbali wa yadi 25 kwa mkwaju wa chini katika mechi iliyokua na upungufu wa fursa chache.
Hata hivyo nyota ya Norwich ilionekana mapema baada ya mkwaju wa mshambuliaji Ryan Bennett kugonga besera na mpira uliporudi uwanjani golikipa Asmir Begovic akazuia juhudi za washambuliaji wa Norwich.
Kwa kipindi kizima cha mchuano Stoke iliweza kujaribu mara moja kufanya shambulizi ambapo Steven Nzonzi alilazimisha golikipa wa Norwich John Ruddy kuinama ili kupooza mkwaju wa kutoka masafa marefu.
He scores: And the effort eluded all to give Norwich the opening goal
Jitihada zake za kukatiza na kuwatoka mabeki zikazaa bao
Time to celebrate: Howson knows three points at Stoke could be crucial for Norwich
Howson akishangilia baada ya kuipachikia bao timu yake Norwich.

Johan Elmander akichuana na Marc Wilson
Aerial battle: Stoke's Charlie challenges Leroy Fer for possession
Mchezaji wa  Stoke Charlie akichuana na Leroy Fer
Passion: Norwich keeper John Ruddy is obviously enjoying the club's promising start to the season
Furaha kwa kipa wa Norwich John Ruddy baada ya timu yake kufunga bao na kupanda juu kutoka kwenye matatizo.
VIKOSI:
STOKE: (4-5-1) Begovic 6, Cameron 5, Shawcross 6, Huth 6, Pieters 5; Walters 5, (Pennant 46, 5) Nzonzi 4, Wilson 5, Adam 5, (Ireland 46, 7) Arnautovic 5; Jones 3. (Crouch 66, 5)
Subs not used: Sorensen, Whelan, Palacios, Assaidi
Booked: Wilson, Pieters
NORWICH: (4-5-1) Ruddy 6, Martin 7, Turner 7, Bennett 7, Olsson 7; Snodgrass 6, Fer 7, Tettey 7, Howson 8, Pilkington 6; (Whittaker 83) Van Wolfswinkel 6. (Elmander 76, 6)
Subs not used: Bunn, Johnson, Hoolahan, Jo Murphy, Hooper
Booked: Fer
Goals: Howson 34
Attendance: 26,184
Ref: Anthony Taylor

No comments:

Post a Comment