BUKOBA SPORTS

Tuesday, September 17, 2013

TIMU YA VIJANA YA COPA COCA COLA YAREJEA NCHINI KUTOKA AFRICA KUSINI MIKONO MITUPU!!

Afisa maendeleo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Salum Madadi (picha ya chini) akiipokea timu ya vijana ya Copa Coca-Cola iliyoshiriki katika michuano ya kimataifa ya Copa Coca-Cola nchini Afrika Kusini wiki iliyopita. Timu hiyo ilitolewa katika hatua ya makundi na Zimbabwe kuibuka mabingwa. Zimbabwe waliibuka mabingwa wa 2013 wa mashindano ya kimataifa ya COPA Coca-Cola kwa kuwafunga Uganda 3-0 katika mchezo wa fainali iliyochezwa High Performance Center, Pretoria, Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment