BUKOBA SPORTS

Wednesday, September 4, 2013

VIJANA WAITIKA MWITIKO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI- EAC


Judith Jubilant akimpaka rangi ya Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ndugu Raymond Maro wakati wa kufurahi mdahalo wa vijana juu ya ushikishwaji wa vijana ndani ya jumuiya hiyo

Raymond Maro akiwa pamoja na vijana wakiwakilisha nchi zao kwa michoro ya bendera

Judith Jubilant mchoraji toka GIZ akiwa makini akipaka rangi vijana kuwakilisha bendera zao na bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Balozi wa Vijana toka katika Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania na Kenya Raymond Maro na Milly Mbedi wanaomaliza muda wao wakiwa pamoja na waandaji wa Mdahalo wa pili wa Vijana juu ya ushirikishwaji wa vijana katika kuboresha jumuiya ya Afrika Mashariki

Balozi wa Vijana katika jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania anayemaliza muda wake Raymond Maro akiwa na vijana wa jumuiya hiyo; Kutoka kushoto ni Janeth Ningoi toka Tanzania, Amina Ahmed toka Kenya na Diane Kaiteta toka Rwanda baada ya kuchangia mada vema wakati wa mdahalo uliofanyika jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment