BUKOBA SPORTS

Thursday, September 12, 2013

WACHEZAJI WA TAKAOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS NCHINI NIGERIA WAKABIDHIWA DARUGA.

Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kwa wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha nchi 17 barani Afrika, wakipokea vifaa hivyo ni makaptani wa timu hizo Athanas Mdam na Stumai Athumani. wa pili kushoto ni kocha wa timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars Abel Mtweve
Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kamptaini wa timu ya kike Stumai Athumani wakati Airtel ilipogawa vifaa kwa timu itakayosafiri kwenda kwenye michuano ya Airtel Rising Stars Nchini Nigeria.
Baadhi ya Wachezaji watakao Shiriki Michuano hiyo ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria wakijarribu Viatu walivyopewa.

No comments:

Post a Comment