BUKOBA SPORTS

Saturday, October 19, 2013

CHUGA BOY ALIVYOMSAMBARATISHA ISMAIL KAJIMA

Bondia Amani Bariki 'Chuga Boy' kushoto akipambana ya Ismail Kajima wakati wa mpambano wao uliofanyika Mbezi kwa Msuguli katika ukumbi wa Samunge Dar es salaam siku ya kusherehekea sikukuu ya Idi Chuga boy alishinda kwa pointi.

Bondia Amani Bariki 'Chuga Boy' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ismail Kajima wakati wa mchezo wao uliofanyika mbezi kwa msuguli ukumbi wa Samunge Dar es salaam wakati wa kusherehekea sikukuu ya Idi Chuga Boy alishinda kwa point mchezo uho Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Chuga Boy akitangazwa mshindi wakati wa mpambano huo

Bondia Julius Kisarawe akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rogat Mkude wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya Idi Hal Haj katika ukumbi wa Samunge uliopo Mbezi kwa Msuguli Dar es salaam Kisarawe alishinda kwa point mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment