NEWCASTLE UNITED wakicheza kwao na kwenye uwanja wo wa St James’ Park na wageni Liverpool leo Jumamosi kwenye Ligi Kuu England wameanza kuwafunga Liverpool kipindi cha kwanza dakika ya 23, mfungaji akiwa Yohan Cabaye bao la umbali wa yards 30.
Dakika ya 39 Mchezaji wa Newcastle Yanga-Mbiwa anapewa kadi nyekundu na refa baada ya kumfanyia ndivyo sivyo Suarez eneo la hatari na kutengwa penati na na dakika ya 41 Capten Steven Gerrard anawapatia bao la kusawazisha kwa kufanya 1-1 dhidi ya wanyeji Newcastle.
RATIBA/MATOKEO
Jumamosi 19 Oktoba
Newcastle United 2 v Liverpool 2
17:00 Arsenal v Norwich City
17:00 Chelsea v Cardiff City
17:00 Everton v Hull City
17:00 Manchester United v Southampton
17:00 Stoke City v West Bromwich Albion
17:00 Swansea City v Sunderland
19:30 West Ham United v Manchester City
Jumapili 20 Oktoba
18:00 Aston Villa v Tottenham Hotspur
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham
No comments:
Post a Comment