Katika matokeo mengine ya mechi zilizochezwa,Chelsea waliinyuka Cardiff magoli 4-1, Everton ikailaza Hull 2-1, Swansea iliichapa Sunderland 4-0 Stoke wakatoka sare bila kufungana na West Brom.

Kocha David Moyes kwa mara nyingi matokeo yakiwa tete na ni baada ya Southampton kubadilisha matokeo dakika za lala salama jioni hii
Robin van Persie ndiye aliyefunga bao la pekee kwa United dakika ya 26
Van Persie akijitupa kwa Michael Carrick kwa kupongezwa kwa aina yake

Mzee wa Zamani wa Manchester United aliyekuwa meneja Sir Alex Ferguson nae alikuwepo leo Old Trafford

Wayne Rooney akimpongeza Van Persie wakati wakienda mapunziko

Majanga: Nani akijiuguza pembeni ya uwanja huku akilalamika kwa mwamuzi

Dejan Lovren' akiwasawazishia bao Southampton katika dakika za Majeruhi dakika ya 89 Old Trafford
Kocha David Moyes kwa mara nyingi matokeo yakiwa tete na ni baada ya Southampton kubadilisha matokeo dakika za lala salama jioni hii
Van Persie akijitupa kwa Michael Carrick kwa kupongezwa kwa aina yake
Mzee wa Zamani wa Manchester United aliyekuwa meneja Sir Alex Ferguson nae alikuwepo leo Old Trafford
Wayne Rooney akimpongeza Van Persie wakati wakienda mapunziko
Majanga: Nani akijiuguza pembeni ya uwanja huku akilalamika kwa mwamuzi
Dejan Lovren' akiwasawazishia bao Southampton katika dakika za Majeruhi dakika ya 89 Old Trafford
No comments:
Post a Comment