BUKOBA SPORTS

Monday, November 4, 2013

SHINDANO LA REDD'S UNI BASH FASHION LAFANA MJINI MOSHI MWISHONI MWA WEKEND.

Joh Makini akiwapagawisha wanachuo waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club ambalo lilishirikisha wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.

Baadhi ya Washiriki wa tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club wakitambulishwa jukwaani kabla ya mchakato wa kutamfuta kinara wa tamasha hilo kuanza

Baadhi ya Wabunifu wa Mavazi kutoka vyuo mbalimbali wakitambulishwa kwenye tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club.




Baadhi ya washiriki wakikatiza jukwaani na mavazi yao ya ubunifu.

Sehemu ya majaji wakifuatilia kwa makinie tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club mwishoni mwa wiki mjini Moshi.

Sehemu ya Tano bora ya Wabunifu wa mavazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutajwa na majaji.

Msanii wa musiki wa kizazi kipya Joh Makini akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki saba 700,000 mshindi wa upande wa ubunifu wa mavazi Rogasian hipolite toka chuo kikuu cha Mwenge kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club.

Mwakilishi wa kampuni ya bia nchini TBL kanda ya kaskazini Mwamba Stanslaus akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki tano 500,000 mshindi wa upande wa Mavazi Nyanda Ikombe toka chuo kikuu cha USHIRIKA kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club Mjini Moshi.

Katibu wa kamati ya maandalizi ya Uhurumarathon 2013 Innocent Melleck akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki nne 400,000 mshindi wa pili upande wa ubunifu wa mavazi Joyce Mchomvu toka chuo kikuu cha Ushirika kwenye tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club mjini Moshi mwishoni mwa Wikend.


Sehemu ya umati wa watu waliofika kweny tamasha hilo lililofana kwa kiasi kikubwa.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joh Makini akiwapagawisha wanachuo waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club ambalo lilishirikisha wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.

Sehemu ya wadau waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club ambalo lilishirikisha wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment