BUKOBA SPORTS

Thursday, December 12, 2013

BARCELONA 6 v CELTIC 1, - PEDRO, PIQUE NA TELLO WAFUNIKWA NA NEYMAR ALIYETUPIA BAO TATU (HAT-TRICK) NA KUTWAA USHINDI KILELENI KUNDI LAO.


Barcelona, ambao walikuwa tayari wameshafuzu, wameifumua Celtic Bao 6-1 na kunyakua ushindi wa Kundi H.
Magoli ya Barcelona yalifungwa na Neymar, Hetitriki, Pedro, Pique na Tello.


Mchezaji wa Barcelona na Brazilian Neymar akishangilia bao moja wapo kwenye uwanja wa nyumbani Nou Camp
All at sea: Forster is left stranded as Neymar taps home to put Barcelona 3-0 ahead
Neymar alitupia bao tatu peke yake na kufanya Barcelona kuongoza kwa bao 3-0 dhidi ya celtic.
Ain't no stopping him now: Neymar falls back as he fires another one into the net
Ain't no stopping him now: Neymar falls back as he fires another one into the net
Unstoppable: Neymar looks to the sky as he celebrates completing his hat trick
Neymar akishangilia kwa staili ya aina yake hapa kwa kuinyonga Celtic bao tatu
Dejected: Celtic manager Neil Lennon (centre) can't bear to look as his side are dismantled by Barcelona
Kocha wa Celtic Neil Lennon (katikati) akiwa ajiwezi hapa baada ya kufungwa mabao mengi
Opener: Barcelona's Gerard Pique scores the first goal after seven minutes
Gerard Pique akifungua goli hapa mapema dakika ya 7
Fingers up: Pique celebrates after putting Barcelona ahead against Celtic
Pique akishangilia baada ya kuipatia timu yake bao Barcelona dhidi ya Celtic
Rout: Tello (centre) celebrates after scoring Barcelona's sixth goal against the Glasgow side
Tello jana aliona mwezi
Down in the dumps: Celtic players show their frustration as they are thrashed at the Nou Camp
Wachezaji wa Celtic hoi kwenye uwanja wa Nou Camp
VIKOSI:
Barcelona: Pinto Colorado 6, Montoya 8, Adriano 7, Busquets 8 (Song 73), Mascherano 7, Pique 8, Sergi 8, Xavi 8, Neymar 10 (Dongou 81), Pedro 8, Sanchez 9 (Tello 63)
Subs not used: Puyol, Iniesta, Alba, Olazabal Paredes
Goals: Pique 7, Pedro 39, Neymar 45 48 58, Tello 72
Booked: Sergi
Celtic: Forster 6, Lustig 5, Matthews 4 (Stokes 82), Brown 5, Ambrose 4, van Dijk 5, Boerrigter 4, Ledley 5, Pukki 3 (Mulgrew 45), Biton 4 (Commons 69), Samaras 5
Subs not used: Balde, Zaluska, Atajic, Fisher
Goal: Samaras 88
Booked: Brown, Matthews
Referee: Sergey Karasev
Attendance: 85,000

No comments:

Post a Comment