BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 1, 2014

RAMADHANI KAMBUGA NA KAINE GALIATANO WAFUNGA MWAKA 2013, KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA NA KUUKARIBISHA MWAKA 2014.


Ni eneo rasmi ambalo lilitumika kwa Wageni Waalikwa kupigia picha za kumbukumbu,Mgeni ukialikwa unakubari mwenyeji alichokuandalia.
Ramadhani Kambuga na Bi Kaine Galiatano wakiwa Walkgard Hotel, sherehe ya kuwapongeza ilifanyika hapa.


Ni Wadada warembo waliokuwa sambamba na maharusi


Hakuna kisichowezekana, kijana Kahabuka na juice yake kubwa akifurahia sherehe

Mr & Mrs Mtawala





Pendeza sanaaaaa

Sudi Karatasi akiwa sambamba na kaka mkubwa



Ni maandalizi ya mzunguko maeneo tofauti pande za Manispaa

Msafara kama unavyoona




Pande za kiroyera Beach, hakika mambo yalikuwa burudani shadida

Ulishawahi kukaria shela ya mkeo wewe? MAJIBU UNAYOMWENYEWE

Hili tukio wengi wanalitamani , lakini yote ni majaliwa na uweza wa mungu


Ongera mdogo wangu


Harusi mipango bwana.... asikwambie mtu







Mama na Mwana

Ulishawahi kuendeshwa na mkeo halali, uwa unajisikiaje
Sudi Karatasi katika siku ambayo alifurahi ni hii


Mr Mtensa

Ongereni wadogo zangu, ndoa ni uvumilivu , kuaminiana

Dada mkubwa Afisa furaha ilikuwa kubwa


Mzee Sadick Galiatano Baba wa bibi harusi


Jamani shela ni kitu kingine asikwambie mtu



Mpangilio wa picha jamani





Ni mpangilio wa ukumbini,vinywaji laini, na mambo yanaenda

Wageni waalikwa walipendeza sana,ni mchana kweupe hakuna Giza

Vijana walijipanga


Ngololoooooooo


Mama wa Bi harusi



Mama mdogo wa Bw Harusi

Kaka mkubwa na mama Chui



Twende mama

Keki kwa Mr & Mrs Jamco kama shukrani

Mweka Hazina Bi Sofia Hamad akisindikizwa na shukuru , pendeza sana

Madada wakipokea keki

Mtensa (Kulia) nae alikuwepo kushuhudia




Cheersssssss

Mr & Mrs Siraji Kichwabuta

Chakula jamani

Mama Achi alipika chakula kitamu


Siwezi hadithia kilichotokea , najitahidi kueleza kwa ufupi

Chezea kamati weweee

Mc Magoma kama kawaida yake anapokuwa na shughuli huwa anavibwagizo vyake kama hivi

Mwenyekiti wa sherehe akieleza jinsi sherehe ilivyopendeza na kila kitu kinawezekana



Kaka mkubwa Ernest Nyambo na Super Mkude wakipanga noti


Mama Mwainunu akikabidhi kitita taslimu kwa maharusi

Picha ya pamoja kamati ya maandalizi ya maandalizi na maharusi

No comments:

Post a Comment