Barcelona jana wameinyuka Real Sociedad na kujiweka katika mazingira kutinga Fainali ya Copa del Rey baada Jana Usiku kuifunga Bao 2-0 katika Mechi ya kwanza ya Nusu Fainali iliyochezwa Nou Camp.
Barca walipata Bao la kwanza katika Dakika ya 44 baada Sergio Busquets kuufuma Mpira baada ya Kona na kufunga.
Lakini wakati huo huo, Sociedad walipata pigo baada ya Beki wao Iñigo Martínez kutolewa kwa Kadi Nyekundu alipomlalamikia Refa kwa wao kunyimwa Penati ya wazi kufuatia Beki wa Barca, Javier Mascherano, kumwangusha Carlos Vela kwenye Boksi.
Bao la Pili la Barca lilikuwa Dakika ya 60 na la kujifunga wenyewe wakati Cesc Fábregas alimmpeneyezea Alexis Sánchez ambae Shuti lake lilipiga Posti na Beki Gorka Elustondo alipojaribu kuokoa Mpira ulimgonga Kipa Eñaut Zubikarai na kutinga wavuni.
Timu hizi itarudiana Wiki ijayo huko Estadio Anoeta Nyumbani kwa Real Sociedad.
Inigo Martinez akiondoka kwenye uwanja baada ya kuoneshwa kadi nyekundu
Messi akiendesha mpira huku mchezaji David Zurutuza Veillet akimwekea vikwazo katika kipini cha kwanza
Messi Jana alikabwa sana angalia hapa...
VIKOSI:
Barcelona: Pinto, Alves, Pique, Mascherano, Alba; Busquets, Xavi, Fabregas (Tello 84); Alexis (Iniesta 73), Messi, Pedro.
Subs not used: Valdes, Puyol, Song, Sergi Roberto, Adriano.
Booked: Busquets, Mascherano, Messi.
Goals: Busquets 42, Elustondo o.g. 60.
Real Sociedad: Zubikarai; Zaldua, Ansotegi, Mikel (C. Martinez 19), Inigo, J.Angel; Zurutuza, Elustondo, Gaztañaga, Griezmann; Vela (Canales 72).
Subs not used: Bravo, Seferovic, X.Prieto, Pardo, Ros.
Booked: Elustondo, Gazantaga, Zubikarai.
Sent off: Inigo.
Ref: Jose Luis Gonzalez Gonzalez

No comments:
Post a Comment