Bao la Dakika 120 la Shaun Miller, alietoka Benchi limewapa ushindi Sheffield United wa Bao 1-0 katika Mechi ya Marudiano ya Raundi ya 4 ya FA CUP iliyochezwa Craven Cottage Jana Usiku na kuwa Sare 0-0 hadi Dakika 90 zinaisha.
Sheffield United, ambayo iko Madaraja mawili chini ya Fulham, kabla ya Mechi hii ilikuwa haijashinda katika Mechi zao 5 za Ugenini.
Kipigo hiki ni mwendelezo mbovu kwa Fulham ambao kwenye Ligi Kuu England wako Nafasi ya mwisho.
Kwenye Raundi ya Tano ya FA CUP, Sheffield United watacheza na Mshindi kati ya Preston North End na Nottingham Forest.
Wachezaji wakishangilia mbele ya mashabiki
Shaun Miller akiwamaliza Fulham jana usiku..umbuka alitokea Benchi.
Mashabiki wa Sheffield United wakifurahia ushindi huo na wakiwa wamebeba banner lao
Kazi unayo kocha!!!!
VIKOSI:
Fulham: Stockdale 6, Passley 5, Hangeland 6, Burn 6, Amorebieta 5, Kasami 5, Parker 6 (Sidwell 69, 6), Tankovic 6, Kacaniklic 5 (Duff 59, 6), Dempsey 5, Rodallega 5 (Dejagah 60, 6).
Subs Not Used: Stekelenburg, Karagounis, David, Christensen.
Booked: Amorebieta, Sidwell.
Sheff Utd: Howard 6, Brayford 6, Maguire 7, Collins 7, Harris 7 (Hill 91), Flynn 7, McGinn 6, Scougall 6 (Miller 97), Coady 6, Murphy 7, Porter 6 (Baxter 75, 6).
Subs Not Used: Long, Kennedy, De Girolamo, Dimaio.
Booked: Harris, Miller.
Goals: Miller 120.
Ref: Neil Swarbrick
No comments:
Post a Comment