Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa Meneja wa Mahusiano OXFAM, Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula leo.
Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB akitilia mkazo baadhi ya mambo wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa kuingia Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.
Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) akijibu Maswali yaliyo ulizwa na waandishi wa Habari.
Baadhi ya Waandishi wa Habari na wadau Mbalimbali wakiwa wanasikiliza kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa katika Shindano la Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.
*************
Majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa Mama Shujaa wa Chakula / Maisha Plus 2014.
Usaili:
Mama Shujaa watapigiwa kura mtandaoni ili kupata washiriki 20 ambao wataingia kijijini Maisha Plus. Zoezi la kuwapigia kura litafanyika baada ya uhakiki ‘verification’ pamoja na upigaji picha kuthibitisha taarifa walizojaza kwenye fomu.
Kauli mbiu ya Mwaka huu ni Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake. INALIPA.
Vijana wa Maisha Plus watagawanywa katika makundi mawili ya watu 20 na kupelekwa katika vijiji vilivyochaguliwa Iringa na Zanzibar, huko wataishi pamoja na familia zilizochaguliwa na kutakiwa kuishi maisha sawa na familia hizo. Zoezi kuu litakuwa kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa vijiji hivyo kama changamoto za maji, n.k.
Baada ya siku 7 wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura vijana hao ili kupata jumla ya vijana 18 watakaopelekwa katika kijiji cha Maisha Plus kuungana na wenzao 12 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Kauli mbiu ya Mwaka huu ni Maisha Plus REKEBISHA.
Majina
Mama Shujaa wa Chakula
Amina Kupela Chikaponya – Mtwara
Anna James Yuda – Morogoro
Anna Mwanilyela Chrisant – Katavi
Bahati Muriga –Mwanza
Clara Ancilla Ibihya – Pwani
Cristina Kurwa Malale – Zanzibar
Dina Rusoti – Mara
Dionisia Rashidi Karata – Tanga
Doricus Msafiri Shumbi – Singida
Edina Jamas – Mbeya
Elinuru Moses Pallangyo – Arusha
Elizabeth Matayo – Geita
Elizabeth Simon – Morogoro
Ezeleda Chedego – Dodoma
Fredina M. Said – Shinyanga
Gladness Ebenezery Mmary – Kilimanjaro
Grace G.D. Mahumbuka – Kagera
Janeth Niima – Manyara
Kuruthumu Ramadhani Mwengele – Tanga
Leah Dominick Mnyambugwe – Dodoma
Mary Athanaz Ndasi – Rukwa
Mary John Mwanga – Singida
Mary Kessy – Dar es salaam
Neema Robert – Simiyu
Nyachum Haji Ame – Zanzibar
Pendo Musa – Morogoro
Santina Mapile – Njombe
Thereza Kitinga – Mwanza
Zaituni Shedrack Kalenbi – Kigoma
Zamda Daniely Mgonganga – Iringa
Vijana wa Maisha Plus
Adolph Anacleth - Mwanza
Agatha Kalesu – Rukwa
Ally Thabit - Mwanza
Anastazia John – Mara
Asumta Mwingira – Dar es salaam
Ausi Abdul Moyo – Ruvuma
Bakari Khalid – Shinyanga
Boniphace Meng’anyi Nyankena – Dar es salaam
Charles Daniel – Simiyu
Douglas Said Msalu - Arusha
Ellymathew Kika – Njombe
Elizabeth Joachim - Tabora
Fahamni Kaite Mwadini – Zanzibar
Farida Ally – Pwani
Fadhili Isanga - Kilimanjaro
Flora John - Singida
Frederick Joseph Ndahani – Singida
Hyasinta T. Hokororo - Mtwara
Jane Julio Kalinga – Iringa
John Sylvester Malima - Geita
Joyce Jacob Mushy - Arusha
Marriam Mosses - Shinyanga
Mary Nicholaus Kavishe – Manyara
Mbonimpaye N. Nkoronko – Rukwa
Mohammed Selemani Lipemba - Lindi
Moureene K. Daud - Kagera
Nelson Daniel – Dar es salaam
Ngoma Abdallah – Kigoma
Osama Norman – Mbeya
Otilia Selestin Simime - Mbeya
Said Salum – Katavi
Salumu Saidi Johari – Mtwara
Scholastica Deusidedith – Geita
Seif Mohamed Salum - Tabora
Shaaban Masoud Shaaban – Zanzibar
Shida Keneth Mganga – Dodoma
Shishira G. Mnzava - Morogoro
Thomas P. Mgazwa – Dodoma
Yassini Hamisi Suddi – Dar es salaam
Zaharani Yusuph Hossen – Tanga
No comments:
Post a Comment