BUKOBA SPORTS

Sunday, February 9, 2014

MAJANGA!!! KIBANO CHA BAO 5-1 ALICHOSHUSHIWA KUTOKA KWA LIVERPOOL CHAMWANGUSHA CHINI...MZEE ARSENE WENGER!!!


Mzee Wenger akiwasili  kwenye mtaa wa Liverpool Lime baada ya kibano!
Majanga!! alijikuta akianguka chini na kuumia mgongo!!!

Mzee Wenger ilimchukua muda kusimama mpaka askari walimsaidia kumyanyua juu alipokuwa hapo kituoni.

Polisi akimpa msaada ya kumnyanyua juu Mzee WengerMgongo wangu jamani!!! Nimekwisha jamani!!

Ilibidi na Askari mwingine asaidie!! kubeba mizigo yake na mmoja amsindikize kwa karibu Mzee Wenger.

No comments:

Post a Comment