BUKOBA SPORTS

Sunday, February 9, 2014

REAL MADRID 4 v VILLARREAL 2, BENZEMA, JESE NA BALE WAIPANDISHA REAL MADRID KILELENI...KAZI IPO KWA BARCA LEO!!

Real Madrid vs. Villarreal: La Liga Live Score, Highlights, ReportJANA kwenye La Liga huko Spain, Real Madrid wametwaa uongozi wa Ligi hiyo baada ya kuichapa Villareal Bao 4-2 na waliokuwa Vinara, Atletico Madrid, kufungwa Bao 2-0 na Almeria.
Bao za Real, waliocheza bila ya Staa wao Cristiano Ronaldo ambae ameanza Adhabu ya Kifungo cha Mechi 3, zilifungwa na Karim Benzema, Bao 2, Gareth Bale na Jese Rodriguez.
View image on Twitter
Hiyo Jana, Atletico walipigwa Bao 2-0 na Almeria kwa Bao mbili za Verza moja ikiwa Penati iliyosababishwa Kipa wa Atletico Dani Aranzubia alietolewa kwa Kadi Nyekundu.
Hii Leo, Barcelona wako Ugenini kucheza na Sevilla na ushindi kwao utawapeleka kileleni.


Mchezaji hatari wa Real Gareth Bale akishangilia bao lake jana usiku kwenye ligi ya La Liga walipoinyuka 4-2 Villarreal.

Baleakimfunga kipa wa Villarreal mapema dakika ya 7

Karim Benzema alifunga bao mbili dakika ya 25 na dakika ya 76 kipindi cha pili na kufanikisha bao kuwa 4-2 dhidi ya Villarreal.

Jese Rodriguez katikati kwenye patashika na mchezaji Mateo Musacchio (kulia). Pia Jese alitupia bao moja.

Jese ndie aliefunga bao la tatu kwa  Madrid nakufanya bao kuwa  3-1 kwenye uwanja wao Bernabeu, Bao hilo lilifungwa katika dakika ya 64mkipindi cha pili. Mabao ya Villarreal yalifungwa na dakika ya 43 na Mario, la pili dakika ya 69 na Dos Santos.

VIKOSI:
Real Madrid:
Lopez; Carvajal, Ramos, Pepe, Marcelo; Illarramendi, Modric, Di Maria; Bale, Benzema, Jese
Villarreal: Asenjo; Mario, Musacchio, Dorado, J.Costa; Aquino, Edu Ramos, Bruno, Moi Gomez; J.Pereira, Giovani



MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU ZA JUU "TOP 4"
2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE
OVERALLHOMEAWAY
POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts
1Real Madrid23183265241001361083129144157
2Atletico Madrid231832561610203878121894057
3Barcelona221732591610013697312374354
4Athletic Bilbao2213454228930281241514161443
5Villarreal2312474427732261351518141740
6Real Sociedad22106642347212773451527836
7Sevilla FC22877413752321133542024431
8Valencia239410363562425153261120131
9Espanyol238510262962415132361116-329

No comments:

Post a Comment