
Mchezaji wa Norwich City Martin Olsson akichuana na mchezaji wa Manchester City Stevan Jovetic

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini akitoa maelekezo leo kwenye matanage wao na Norwich City huko carrow Road.

Mchezaji wa Norwich City Bradley Johnson akichuana vilivyo kuutafuta mpira na Alvaro Negredo

Kocha wa Norwich City Chris Hughton akishushia maji ya kunywa.

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini mapema kipindi cha kwanza.

Mchezaji wa Norwich City Martin Olsson na wa Manchester City Alvaro Negredo wakichuana kugombea mpira katika kipindi cha kwanza. City walikuwa Ugenini huko Norwich Carrow Road

Mchezaji wa Norwich City Bradley Johnson na Jesus Navas

Mchezaji wa Manchester City Pablo Zabaleta akijilaumu baada ya kukosa bao la wazi!!

Mchezaji wa Manchester City Stevan Jovetic akiachia shuti kali

Mchezaji wa Norwich City kipa John Ruddy akiokoa kwa kudaka mpira kutoka kwa Jesus Navas

Mchezaji wa Manchester City Alvaro Negredo na Mchezaji wa Norwich City Martin Olsson wakichuana vilivyo kuusaka mpira kwa udi na uvumba hapa...

Kocha Chris Hughtonakiongea na wachezaji wake na kuwapa mbinu mbadala za kukabiliana na Wachezaji wa City

Meneja Chris Hughton kwenye mstari akiangalia kipute cha vijana wake leo

Mchezaji wa Manchester City Pablo Zabaleta na Mchezaji wa Norwich City Bradley Johnson wakikabana huku Pablo akimbana vilivyo kwa nyuma mchezaji huyo hatari wa Norwich.

Bradley Johnson akikabwa...

Benchi la viongozi wa Manchester City akiwemo kocha mkuu Manuel Pellegrini (kulia)

Kimbiza kimbiza hapa....na kamata kamata....Mchezaji wa Norwich City Alexander Tettey (kushoto) na Mchezaji wa Manchester City Stevan Jovetic....
No comments:
Post a Comment