
Akiongea na blog hii hit maker wa wimbo wa majanga Snura Mushi amesema style yake mpya ya ya ushaharibu... imeshakuwa gumzo mtaani na kila siku anatumiwa picha za watu mbalimbali wakiweka ishara ya ushaharibu wakiwemo mastar wakubwa wamuziki watanzania...imefikia wakati akiweka tu picha yenye ishara hiyo basi msg zinakuja za neno la ushaharibu.... ushaharibu ni wimbo mpya wa msanii Snura Mushi ambao unategemea kutoka mwanzoni mwa mwezi watatu... wimbo huo ameurecord katika studio za CHAIDERS REC chini ya producer mahili Abby dady...Snura amesema wimbo huo amewazungumzia watu wenye tabia za kuiangalia leo na kudhalau kesho.....

Linex

Zimwi


Amisou

Mapacha#team majanga

Snura na LIDYA

Davina

ZUHURA,CUTESHUU

Zuu Kamiligado.

Kala jeremiah

dvj ommy crayze

rich mavoco..& talha

Dj chok

izzo bizness
No comments:
Post a Comment