
Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.

Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.

Wachezajiwa timu wa Yanga wakishangilia bao lao la pili lililofungwa na Nadir Haroub, Picha kwa hisani ya othmanmichuzi.blogspot.com

Mashabiki wa Timu ya Yanga.

Kiiza akipachika bao la nne

Mrisho Ngassa akiwachomoka mabeki wa Komorozine

Mrisho Ngassa bado anao...

Mrisho Ngassa akifunga bao la sita na kufanya 6-0 kwenye uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam, Credit kwa http://othmanmichuzi.blogspot.com

Majanga kwa wachezaji wa Komorozine, wakilaumiana baada ya kufungwa mabao..
VIKOSI:Yanga: Juma Kaseja, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub, Kevin Yondan/Rajab Zahir, Frank Domayo, Simon Msuva/Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Hamisi Kiiza, Mrisho Ngassa na David Luhende/Didier Kavumbangu.Komorozine: Attoumani Farid, Ali Mohamed Mouhousoune, Nizar Amir, Abdou Moussoidi Kou, Ahamadi Houmadi Ali, Moidjie Ali, Mourthadhoi Fayssol, Attoumane Omar, Mohamed Erfeda/Imroina Ismael dk30, Mouyade Almansour Nafouondi na Ahmed Waladi Mouhamdi/Ghaidane Mahmoud dk80.
No comments:
Post a Comment