MAANDAMANO YA UZINDUZI WA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR 2014 WAFANA LEO
Taswira mbalimbali za watu wa mataifa mbalimbali walioandamana kuashiria
uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara mwaka huu Ngome Kongwe, Zanzibar.
Kwa muda wa wiki nzima tamasha hilo litarindima ambapo watu na makundi ya
muziki toka kila pembe ya dunia yatatumbuiza. credit to http://issamichuzi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment