BUKOBA SPORTS

Thursday, February 6, 2014

MCHEZAJI WA MANCHESTER UTD ADNAN JANUZAJ ATIMIZA MIAKA 19, APEWA BONGE LA KEKI!

Winga machachari wa klabu ya Manchester United, Adnan januzaj siku ya jana alikuwa anatimiza umri wa miaka 19 hivyo kuwalazimu wachezaji wenzake kumsapraiz na zawadi ya keki.

Kinda huyo ambaye birthday yake iligongana na wachezaji wengine wakubwa akiwemo Christiano Ronaldo, Neymar and Carlos Tevez, ambao nao vilevile walipewa zawadi ya keki kutoka katika vilabu wanavyochezea.


Na hii ndio picha ya keki aliyotweet Adnan kupitia mtandao wa Twitter.

No comments:

Post a Comment