BUKOBA SPORTS

Wednesday, February 5, 2014

MTIBWA SUGAR 1 v SIMBA 1

Mtibwa ndio walianza kuliona lango la Simba kupitia kwa Musa Mgosi na Simba kuzawazisha kupitia kwa Amis Tambwe.
Kwa matokeo hayo Azam wanaendelea kuongoza ligi huku Yanga wakiwa nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu wakiwa na pointi 31 sawa na Mbeya City ila simba inaizidi kwa mabao ya kufungwa na kufunga
Kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya Tanzania Prisons na Coastal Union hazikufungana 0-0.
Kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Mgambo Shooting vs Ruvu Shooting nao wamelala 0-0
Chamazi, Dar es Salaam JKT Ruvu imefungwa na Ashanti United bao 1-0 na Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Rhino Rangers vs Oljoro JKT zimetoka sare 2-2.



MATOKEO:
Jumatano Februari 5

Mtibwa Sugar 1 v Simba 1
Tanzania Prisons 0 v Coastal Union 0
Rhino Rangers 2 v JKT Oljoro 2 

JKT Ruvu 0 v Ashanti United 1

MSIMAMO:
NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
16
10
6
0
29
10
19
36
2
Young Africans
16
10
5
1
34
12
22
35
3
Simba SC
16
8
7
1
33
14
19
31
4
Mbeya City
16
8
7
1
22
13
9
31
5
Mtibwa Sugar
16
5
7
4
20
19
1
22
6
Kagera Sugar
16
5
6
5
15
15
0
21
7
Coastal Union
16
3
10
3
11
8
3
19
8
Ruvu Shootings
14
4
6
4
16
16
0
18
9
JKT Ruvu
15
6
0
9
13
19
-6
18
10
Ashanti United
16
3
4
9
14
28
-14
13
11
Rhino Rangers
16
2
6
8
11
20
-9
12
12
JKT Oljoro
16
2
6
8
12
17
-5
12
13
Tanzania Prisons
14
1
7
6
6
16
-10
10
14
Mgambo JKT
15
2
3
10
7
26
-19
9
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumapili Februari 9

JKT Oljoro v Kagera Sugar
Rhino Rangers v Coastal Union
Mbeya City v Mtibwa Sugar
JKT Ruvu v Ruvu Shooting


No comments:

Post a Comment