C.E.O wa The Made Men Records(MMG), Ubi Franklin ambaye ni meneja wa mwanamuziki Iyanya wa Nigeria, Jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwake pamoja na mastaa kibao wa nchini humo akiwemo Iyanya, Olamide, Toolz, Banky W, Capt Demuren, Daddy Showkey, mwanamitindo kutoka Kenya Victoria Kimani na wengine kibao. Tazama picha ya jinsi party ilivyokuwa..
No comments:
Post a Comment