BUKOBA SPORTS

Wednesday, February 5, 2014

MTOTO WA PAUL WALKER KURITHI MALI ZA BABA YAKE.


Familia ya aliyekuwa staa wa filamu za Fast & Furious, Paul Walker(40) huenda ikaingia kwenye mgogoro kufuatia urithi alioacha mcheza filamu huyo kuhusiana na mtu anayetakiwa kurithi mali zake. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ uliweza kuzinyaka dokumenti hizo za urithi na kuziweka wazi bila chenga.
Muigizaji huyo aliyekuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 25(Tsh 40 Bilioni) alitanabaisha ya kwamba endapo ikatokea akafariki kiasi hicho chote cha utajiri wake apewe mtoto wake wa kike anayeitwa ‘Meadow’ ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 15 . 
Akiwasilisha usiha huo mbele ya mahakama, baba mzazi wa Paul Walker ameiambia mahakama ya kwamba mke wake aitwaye Cheryl ndiye anatakiwa kuwa muangalizi na msimamizi wa hela hizo alizoachiwa na marehemu baa yake.
Bado haijaweza kufahamika wazi kama mama mzazi wa Meadow anayeitwa Rebecca Soteros ambaye kwa sasa anaishi na mtoto wake huyo kama atakubaliana na shauri lililotolewa na baba mkwe wake.
Paul Walker enzi hizo...ilikuwa patashika !!June 2003: Walker and Tyrese Gibson in second installment 2 Fast 2 Furious

Kipindi cha nyuma marehemu Walker aliwahi kunukuliwa akisema ya kwamba angependa kuona mama yake mzazi anakuwa msimamizi wa mali za mtoto wake endapo ikatokea akarest in Peace. Nyota ya staa huyo ilizimika ghafla kama mshumaha baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyochukua maisha yake na rafiki yake Roger Rodes February 30 mwaka jana.
The late Paul Walker's daughter, Meadow, is shown leaving home with a couple of friends as she continues to mourn her father's tragic death.MeadowPaul Walker, who died in a November car crash, has left $25 million to his 15-year-old daughter Meadow, pictured, but nothing to his girlfriend, Jasmine Pilchard-Gosnell, or other family members.Paul WalkerTaswira ya janga lenyewe mwezi NovembaPaul Walker Sr., left, and his son Cody, right, brother of the late Paul Walker, are shown outside a Georgio Armani BH as the actor's funeral approached.In May, actor Paul Walker attended the 'Fast & Furious 6' world premiere in London. The movie franchise's seventh installment is still on track for release in 2015.PAUL WALKER

No comments:

Post a Comment