BUKOBA SPORTS

Friday, February 7, 2014

OLIMPIKI YA MAJIRA YA BARIDI YAANZA KUANZA RASMI SOCHI.

SochiSHEREHE za ufunguzi wa michuano ya olimpiki ya majira ya baridi zinafanyika leo jijini Sochi, Urusi huku kukiwa na tahadhari kubwa ya mambo ya kiusalama. Mji wa Sochi uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi, unatarajiwa kukaribisha zaidi wa wanariadha 2,900 ambao watakuwa wakigombea medali 98 katika michezo mbalimbali itakayokuwepo katika michuano hiyo ya siku 16. Fashion police! Germany's Olympic team emerge wearing some of the most colour clashing outfits ever worn! Wakati watu wakiwa na hamasa katika ufunguzi wa michuano hiyo kumekuwa tahadhari kubwa ya mambo ya kiusalama huku serikali ya Marekani ikionya mashirika ya ndege yanayosafiri kwenda Urusi kuwa waangalifu. Marekani wanahisi huenda magaidi wakatumia dawa za kusugua meno kupitisha vilipuzi kimagendo kwa ajili ya kutimiza haja zao za kigaidi.Mesmerising: Another general view of fireworks that played such an impressive part of Sochi's opening ceremony Ofisa mmoja wa Idara ya Usalama ya Marekani amesema vilipuzi hivyo vinaweza kutumiwa kutengeeza bomu ndani ya ndege au baada ya kuwasili katika michuano hiyo. Vikosi vya usalama vya Serikali ya Urussi viko katika hali ya tahadhari baada ya makundi ya wanamgambo na magaidi kutishia kufanya mashambulizi katika mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi ya Sochi.Leaders of the pack: International Olympic Committee (IOC) President Thomas Bach (L) and Russian President Vladimir Putin attend the spectaclePresident Thomas Bach akiwapungia mkono watu wengi waliokusanyika katika ufunguzi wa michuano hiyo akiwa na Rais wa Russian Vladimir Putin.
Hard to impress! A Russian child yawns while others wave the national flag as the national anthem is being played during the opening ceremonyWatoto wa Kirusi wakipepea benderaFlying the flag! Jon Eley (centre) of Britain carries the national flag as he leads the team outAlmost there: The Olympic rings are presented during the Opening Ceremony the Fisht Olympic StadiumShooting star: Biathlete Daria Domracheva of Belarus during a training sessionLight my fire! Fireworks explode above the Olympic Park in Sochi to mark the start of the 22nd Winter Olympic GamesStunning: The opening ceremony features enormous illuminated snowflakes transforming into the the Olympic ringsAerial route: Antti Ollila of Finland flying through the air during a Ski Slopestyle official training session

No comments:

Post a Comment