Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ amewapa makavu laivu baadhi ya watu wanaoshangaa na kuhoji inakuwaje anatimiza mwaka mmoja ndani ya ndoa bila kuzaa.
“Ni kweli ndoa yangu keshokutwa tu inatimiza mwaka mmoja lakini nawashangaa wanaohoji kutokuzaa kwangu, wao wako nje ya ndoa hawajui mambo yanaendaje, wakiingia watajua kuwa kuzaa ni majaliwa ya Mungu,” alisema Jack.
No comments:
Post a Comment